Pages

Subscribe:

Thursday, April 10, 2014

KITUO CHA MAUZO ( JUMLA NA REJA REJA ).


KARIBU KITUONI KWETU AU WASILIANA NASI KWA NAMBA ZILIZOPO KWENYE TANGAZO/STICKER HAPO JUU!

ASANTE!

Saturday, February 22, 2014

SASA YANAPATIKANA KWENYE LABEL MPYA / MUONEKANO MPYA!

USIKUBALI KUPITWA NA OFFA HII KUUUBWAAAAAA!!!!
Wasiliana nasi kwa namba zilizopo hapo kwenye tangazo!

Sunday, July 14, 2013

MAFUTA YA ALIZETI YABAINIKA KUWA TIBA MBADALA KWA MAGONJWA YA KANSA, TB, PRESHA NA VIDONDA VYA TUMBO.


Mafuta  ya kula yatokanayo na zao la Alizeti linalopatikana kwa wingi mkoani Singida, yamebainika kuwa dawa muhimu na mbadala ya kukabiliana na maradhi ambayo wataalamu wa tiba za kisasa wanayaita ni sugu.
Mtafiti mmoja wa tiba za asili Mkoani Singida Dk. Raelk Mhlinyo, amesema amekuwa akitumia mafuta ya alizeti kwa ajili ya kutibia watu magonjwa mbalimbali yanayowakabili.

Amesema alifanikiwa kubaini mafuta ya Alizeti kuwa ni dawa muhimu kwa maradhi yanayosumbua maisha ya watu wengi na hasa wenye umri mkubwa.

Baadhi ya madaktari waliozungumza na mwandishi wa blog hii kuhusu suala la mafuta hayo, wameonyesha kuunga mkono kauli ya Dk. Mhlinyo, wakisema kuna kasi ya kupungua kwa idadi ya watu wanaohitaji matibabu kwa baadhi ya maradhi. 

Mtaalam huyo alisema utafiti zaidi unapaswa kufanyika ili kubaini maradhi mengine yanayoweza kutibika kwa kutumia ushauri wa kubadili mfumo wa mafuta na vyakula bila dawa, na kusema jitihada za makusudi zinapaswa kuchukuliwa kwa ajili ya kusaidia jamii. 

KUPATA MAFUTA HAYA YA ALIZETI KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
WASILIANA NASI KWA:
0659 700 002 

Wednesday, July 3, 2013

PRICE LIST / BEI ZA MAFUTA



UJAZO

KIASI

REJAREJA JUMLA
5 Litres 4 pcs
68,000
1 pc 18,000
1 Litre 12 pcs
42,000
1 pc 4,000

CONTACT US DIRECTLY





Tel:        +255 659 700 002 / 653 100 100
e-Mail:   halisitz@gmail.com / mdeejunior@gmail.com
Skype:   mdee.junior

Tuesday, July 2, 2013

PRESS YOUR ORDER NOW / TUMA ODA YAKO SASA









Contact Us:
e-Mail: halisitz@gmail.com
Mobile: 0659 700 002 / 0653 100 100
                     OR
Use the Contact Form on the top right sidebar!
Thanks.