Mafuta ya kula yatokanayo na zao la Alizeti linalopatikana kwa wingi mkoani Singida, yamebainika kuwa dawa muhimu na mbadala ya kukabiliana na maradhi ambayo wataalamu wa tiba za kisasa wanayaita ni sugu.
Mtafiti mmoja wa tiba za asili Mkoani Singida Dk. Raelk Mhlinyo, amesema amekuwa akitumia mafuta ya alizeti kwa ajili ya kutibia watu magonjwa mbalimbali yanayowakabili.
Amesema alifanikiwa kubaini mafuta ya Alizeti kuwa ni dawa muhimu kwa maradhi yanayosumbua maisha ya watu wengi na hasa wenye umri mkubwa.
Baadhi ya madaktari waliozungumza na mwandishi wa blog hii kuhusu suala la mafuta hayo, wameonyesha kuunga mkono kauli ya Dk. Mhlinyo, wakisema kuna kasi ya kupungua kwa idadi ya watu wanaohitaji matibabu kwa baadhi ya maradhi.
Mtaalam huyo alisema utafiti zaidi unapaswa kufanyika ili kubaini maradhi mengine yanayoweza kutibika kwa kutumia ushauri wa kubadili mfumo wa mafuta na vyakula bila dawa, na kusema jitihada za makusudi zinapaswa kuchukuliwa kwa ajili ya kusaidia jamii.
KUPATA MAFUTA HAYA YA ALIZETI KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA
WASILIANA NASI KWA:
0659 700 002
0 comments:
Post a Comment